Jarida la Tapori

 Watoto duniani huunganishwa kupitia “Jarida la Tapori”.

Inakupatia taarifa za watoto ulimwenguni.
Ina tueleza hadithi za ukweli za matumaini na urafiki.
Inaelezea namna ya watoto wanavypambana na umaskini na ubaguzi.

Kwa kusoma Jarida la Tapori kwa lugha tofauti bonyeza:

Kama unaongea Kifaransa bonyeza “Bonjour”, kwa Spanish bonyeza “Hola”, kwa kiingereza bonyeza “Hello”.

Click here if you want to suscribe (and if your parents agree) so that it can be sent to you.