Fahamu Tapori

TAPORI ni mtandao wa watoto ulimwenguni ambao kauli mbiu ni: “Tunataka watoto wote wapate nafasi.” “kufanya kazi kwa pamoja kufikia tumaini hili.

 Hivi ndivyo watoto wanatueleza Tapori,
  TAPORI husaidia watoto kuzungumzia vitu ambavyo ni muhimu

 ” Shukrani TAPORI, wototo kuweza kujuana, hata kama hawazungumzi lugha moja.

  ” Neno TAPORI unaweza kusema kwa lugha yoyote ile”

   TAPORI ni Kama rafiki”

  TAPORI ni daraja baina ya watoto wote”

  “Hivi ndivyo najua TAPORI, ninafikiri nina bahati ya kuwa na kila ninachokifanya.